SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015
MPANGILIO WA VIFUNGU
Kifungu

Kichwa cha habari

SEHEMU YA KWANZA
MASHARTI YA UTANGULIZI

1. Jina na tarehe ya kuanza kutumika.
2. Matumizi.
3. Tafsiri.
SEHEMU YA PILI
MASHARTI YANAYOHUSIANA NA MAKOSA
NA ADHABU
4. Kuingia kinyume cha sheria.
5. Kubaki katika mfumo wa kompyuta kinyume cha sheria.
6. Kuingilia mawasiliano kinyume cha sheria.
7. Kuingilia data kinyume cha sheria.
8. Ujasusi data.
9. Kuingilia mfumo kinyume cha sheria.
10. Kifaa kisicho halali.
11. Kughushi kunakohusiana na masuala ya kompyuta.
12. Udanganyifu unaohusiana na kompyuta.
13. Ponografia za watoto.
14. Ponografia.
15. Makosa yanayohusiana na utambuzi.
16. Kutoa taarifa za uongo.
17. Ubaguzi.
18. Matusi ya kibaguzi.
19. Mauaji ya kimbari na makosa dhidi ya binadamu.
20. Ujumbe unaotumwa bila ridhaa.
21. Ufichuaji wa taarifa za upelelezi.

Select target paragraph3