38

No.14

Sheria ya Makosa ya Mtandao

22. Kuzuia upelelezi.
23. Unyanyasaji kwa kupitia mtandao.
24. Ukiukaji wa haki bunifu.
25. Wakosaji wakuu.
26. Jaribio la kufanya uhalifu.
27. Kula njama ya kutenda kosa.
28. Ulinzi wa miundombinu muhimu ya TEHAMA.
29. Makosa yanayohusu miundombinu muhimu ya TEHAMA.
SEHEMU YA TATU
MAMLAKA YA MAHAKAMA
30. Mamlaka ya mahakama.
SEHEMU YA NNE
UPEKUZI NA UKAMATAJI
31. Upekuzi na ukamataji.
32. Utoaji data.
33. Utunzaji data wa dharura.
34. Utoaji na ukusanyaji wa mwenendo wa data.
35. Utoaji na ukusanyaji wa maudhui katika data.
36. Amri ya mahakama.
37. Matumizi ya kifaa cha TEHAMA katika uchunguzi.
38. Usikilizaji wa maombi.
SEHEMU YA TANO
WAJIBU WA WATOA HUDUMA
39. Kutowajibika kufanya ufuatiliaji.
40. Mtoa huduma ya kuingia kwenye mfumo.
41. Mtunza data.

2015

Select target paragraph3