Na.14 Sheria ya Makosa ya Mtandao 42. Mhifadhi data kwa muda mfupi. 43. Mtoa huduma ya kuunganisha tovuti. 44. Mtoa huduma ya utafutaji wa taarifa. 45. Notisi ya kuondoa. 46. Wajibu mwingine kutoathiriwa na sheria. SEHEMU YA SITA MASHARTI YA JUMLA 47. Kinga. 48. Utaifishaji mali. 49. Makosa yanayofanywa na kampuni hodhi. 50. Kufifilisha kosa. 51. Mamlaka ya kutengeneza kanuni. 2015 39